Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Riyama Ally Awachana Wanaosema Anatembea na Kiben Ten


Muigizaji mahiri wa filamu za majonzi na mambo ya uswahilini, Riyama Ally mwenye sifa zake mjini wa kuvaa uhusika wa kuchamba ndani ya filamu mbalimbali lakini mwenyewe anasema hivyo sivyo alivyo kwenye maisha yake ya kila siku.

Kubwa zaidi Riyama amewavaa tena wanaomuita bibi kizee na kusema ni kutokana na husda zao na kwamba wanaomsema mumewe kuwa anatembea na jimama ni kweli jimama, lakini siyo mama zao.

Riyama ameolewa na msanii wa Bongo Fleva, Leo Mysterio ambaye amekuwa akiambiwa ni kibenteni huku mwenyewe akiambiwa ni mtu mzima ambaye ameoa na siyo kuolewa.

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments