Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Sakata la Wanamuziki wa Mabantu Kujichubua..Wafunguka Baada ya Stan Bakora KuwalipuaMuuh tokea Mabantu amejibu kauli ya mchekeshaji Stan Bakora aliyedai waundaji wa kundi hilo (Muuh & Twah) pamoja na msanii Dullah Makabila ni watu wanaotumia sana mikorogo lakini mikorogo haiwataki.

Kwenye hali ya kukasirika,amedai alichokisema Stan ni ushamba sababu hakuna kinachomgharimu hadi aanze kuwaongelea kuhusu suala la kujichubua. Muh anadai Kwa upande wao maisha kidogo yanabadilika hivyo wanaweza kumudu gharama za mafuta ya kujipaka huku akimtaka Stan kuacha tabia za kuingilia maisha ya watu.

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments