Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

SANAMU la Marehemu George Floyd lililopo Jini New York Marekani laharibiwa tena


SANAMU la Marehemu George Floyd lililopo Jini New York Marekani laharibiwa tena Jumapili ya October 3,2021

Kwa mujibu wa Polisi wanadai kuwa sanamu hiyo imeharibiwa na mtu mmoja ambaye hajafahamika bado kwa jina ila alikuwa kwenye (skateboard). Polisi wanadai kuwa mtu huyo alipita na kuimwagia rangi sanamu hiyo.

Hii si mara ya kwanza sanamu hilo kuharibiwa kwani siku tano baada ya kuwekwa kwa sanamu hilo liliharibiwa kwa kumwagiwa rangi nyeusi huku likiachwa na alama ya utambulisho wa kundi moja la wanaharakati wa kizungu.

George Floyd ni mmarekani mweusi aliyeuwawa na polisi mwaka jana, mauaji yake yalizua maandamano ulimwenguni na kupelekea mabadiliko chanya ya kisheria juu ya mtu mweusi.

  

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments