Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Shilole "Alikiba Hanizidi Chochote Mimi"


"Mimi Nataka Nimwambie @officialalikiba Mimi Ni Super Woman ...Hanizidi Kwa Chochote, Nilikwenda Kweli Pale, Nataka Nisisitize Mimi Nimefanya Shughuli Yake Ndio Nimeisherehesha Nani Anakataa"

"Bila Mimi Kuwa Na Matashtiti Yangu Pale Kutokea Vile Nani Angejua Shughuli Ya @officialalikiba ?" - @officialshilole

Shilole Amesema Hayo Muda Huu Akiwa Kwenye Interview Na #MashamSham Ya @wasafifm


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments