Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Simba Yatupwa Nje Ligi ya Mabingwa, Yapigwa Kwa Mkapa

TIMU ya Simba imetolewa rasmi kwenye michuano ya Ligi Mabingwa Afrika baada ya kufungwa Jwaneng Galaxy kwa mabao 3-1, mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Benjamin  Mkapa.

 

Simba ambayo ilianza vema kipindi cha kwanza ilienda mapunziko ikiwa mbele  kwa bao 1-0 goli la Larry Bwalya, lakini Galaxy waligeuza kibao kupachika magoli 3.

 

Matokeo ya Jumla ni 3-3 lakini Simba imetolewa kwa baada ya Galaxy kuwa na magoli mengi ya ugenini sasa Simba itacheza  kwenye michuano ya kombe la shirikisho.

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments