Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Stan Bakora "Nalitamani PENZI La Kajala, Nimemtongoza Tayari"


Comedian Maarufu Hapa East Africa Stany Bakora Ameshindwa Kuzuia Hisia Zake kwa Mama Paula (Kajala Masanja) Ameamua Kuweka Mambo Public Kuwa Amejalibu Mara Nyingi Kumtongoza Kajala Masanja Ila Mara Zote Mwanadada Huyo Amemchomolea.

"Kajala Ni Mwanamke Mzuri Mno Na Nimewahi Kumtongoza Mara Nyingi Ila Amekuwa Mtu Wa Kunikataa Tuuu Ila Natamani Sana Penzi lake, Pia Mimi Sijawahi Kumtongoza Mwanamke Yoyote Tukiwa Tunaangalia Macho kwa macho Mimi natumiaga Simu Tuuu"-Ameongea Stany Bakola

 Downlaod App ya BLOG Hii Kutoka Google Play Kwa Kubonyeza HAPA>>>

Post a Comment

0 Comments