Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

TAMTHILIA ya SQUID GAME yaiteka DUNIA, Maamuzi magumu na KIFO ni nje nje, haya ndiyo USIYOYAJUA


Kwanini tamthilia ya Squid Game imekuwa gumzo karibu kote duniani?. Na ukitembelea App ya Tik Tok matukio ya tamthilia hii yamekuwa ni maigizo kwa watu wengi wanaopenda kutumia Tik tok kwa ajili ya kijirekodi video fupi. 

Ni kitu gani kinachoifanya Tamthilia hii ya kusisimua kuvutia sana. Kuna kitu cha kujifunza toka kwa tamthilia hii?.

VIDEO
 Downlaod App ya BLOG Hii Kutoka Google Play Kwa Kubonyeza HAPA>>>

Post a Comment

0 Comments