Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Tanzania (Twiga Stars) imetinga fainali ya COSAFA


Tanzania (Twiga Stars) imetinga fainali ya COSAFA baada ya kuifunga Zambia jumla ya magoli 4-3, katika mchezo wa nusu fainali. 

Matokeo ya mechi za nyuma:

Tanzania 3-0 Sudan Kusini 

Botswana 0-2 Tanzania

Tanzania 3-0 Zimbabwe

Mashindano hayo yanaendelea nchini Afrika Kusini.  

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments