Ticker

6/recent/ticker-posts

Team Kiba na Team Mondi Zarudi kwa Kasi Shilole


Ni wazi kuwa watu kama walisha anza kusahau kuhusu #TeamKiba na #Team Mondi, baada ya rajabu mMakonde a.k.a. @harmonize_tz KondeBoy' kuingia hapo kati na kuweka team yake #KondeGang.

Sasa baada ya kuibuka kwa Sakata la King Kiba na Dada yetu Mpishi Shilole' sakata ambalo limechukua trending ,kwasababu humo ndani pia alitajwa Simba @diamondplatnumz, tena kwa kushindanishwa na @officialalikiba ,jambo ambalo bila ubishi limerudisha ule ushindani ambao ulikua ukitajwa kipindi fulan yaani kati ya #TeamKiba vs #TeamMondi.

Lakini hili limekuja kwa utofaut kidogo, kwani saahii limekuwa kwa upande wa wasanii wenyewe ambao wameamua kuweka wazi interest zao kwa kuchagua upande, kati ya Mondi au Kiba', kwa Mfano; msanii kama nuh mziwanda ni waz amekaa upande wa Kiba huku wengine kama #amberlulu, gigy wao wakienda sawa na Diamond.
Hii ni wazi kuwa sakata la Alikiba n Shishi limerudisha uTeam, yaani #Team Kiba vs Team Mond

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments