Thomas Jefferson Rais pekee wa Marekani aliyewahi kuwa na kitabu cha Kiislamu Quran ofisini kwake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Jefferson alikuwa rais wa Marekani kuanzia mwaka 1801 hadi 1809 na anaaminiwa kuwa alipenda kuwa na mahusiano mema na ulimwengu wa Kiislamu, kwa sababu kadhaa, ikiwa ni pamoja na kwamba Morocco kwanza ilikuwa ya kwanza kutambua uhuru wa Marekani katika mwaka 1777.

LIBRARY OF CONGRESS, RARE BOOK AND SPECIAL COLLECT
Kumbukumbu zinaonesha kuwa Jefferson alikuwa anawapokea mabalozi wageni Waislamu kwa ajili ya iftar wakati wa Ramadhan.

“Ingawa wakati wote hakuwa anauelewa vyema Uislamu wakati wa maisha yake ya kisiasa, alitetea haki za kisiasa za Waislamu, alisema alikuwa na nia katika Uislamu, na kwamba Korani kilikuwa ni kitabu halali. Alikuwa tofauti na Wakristo wa Magharibi wakati ule katika kuielewa Koran, “alisema Spielberg, mwandishi binafsi wa rais wakati mmoja katika mkutano na waandishi wa habari kabla ya kifo chake.

Kuna uwezekano mkubwa kwamba Jefferson alikuwa na nia katika Korani inapokuja katika kujenga uhusiano wa kidiplomasia, na kuelewa tamaduni na maisha ya Himaya ya Ottoman na Afrika Magharibi.

LIBRARY OF CONGRESS, RARE BOOK AND SPECIAL COLLECT
Kitabu hicho, kilichochapishwa mjini London mwaka 1764, kinasemekana kuwa kilitafsiriwa kwa maana halisi ya Koran, sio tafsiri ya sura, na inasemekana kuwa kilinukuu maandishi ya mwandishi Mfaransa kwa jina Voltaire katika maandishi yake kuhusu Uislamu na Nabii Muhammad.

Kulingana na wavuti “Historia “, tafsiri ya Ciel ilikuwa ndio tafsiri ya kwanza ya Korani kuandikwa katika lugha ya Kiingereza.

SAUL LOEB / AFP
Kulingana na jarida la taasisi ya Smithsonian, mara ya kwanza sura za Kiarabu zilipoandikwa nchini Marekani ziliandikwa na mwanaume anayeitwa Omar bin Said, mtumwa kutoka Senegal, aliyekuwa katika Charleston, katika jimbo la South Carolina katika mwaka 1807.

Omar alikamatwa, aliomba katika mahabusu yake na kuandika sura za Korani kwenye kuta za mahabusu kwa kutumia mkaa na chaki.

Aliandika kurasa 200 za utangulizi na tafsiri yake, akielezea hali za kihistoria za ufunuo wa Korani, na kutoa mtazamo wa jumla wa Waarabu na Waislamu, tamaduni na imani zao. Lakini alielezea katika utangulizi kwamba madhumuni ya tafsiri hiyo ni “kuwasaidia Wakristo kuielewa Korani.”

 

Kulingana na Spielberg, Koran iliyotafsiriwa inathaminiwa kwa hali ya juu. Wakristo wa karne ya kumi na nane Walitambua thamani ya kupanua uelewa wao wa Uislamu, na kitabu cha Thomas Jefferson ndicho kitabu kilichouzwa zaidi wakati huo.

WIN MCNAMEE / GETTY IMAGES
Baadhi ya wabunge wapya wa Baraza la Cogress Waislam waliochaguliwa waliapishwa. Keith Allison, ambaye aliapishwa kama mwandishi wa kitabu, alikielezea kitabu hicho kama Ushahidi kwamba “wanaokishika ni watu wenye Subra na wenye maono ya mbali, tangu kuasisiswa kwa nchi yetu, waliamini katika ujuzi na hekima kutoka kwa vyanzo vingi, ikiwemo Korani “.

Rashida Tlaib pia aliapa kwa nakala ya Korani “kwasababu Wamarekani wengi wanahisi kwamba Uislamu ni wa kigeni katika historia ya Marekani, lakini Waislamu walikuwa hapa katika mwanzo wa nchi hii .”

Credit by BBC.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad