Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Tiwa Savage Apoteza Dili 4 Kubwa KUFUATIA Video yake chafu Kuvuja


KUFUATIA Video chafu ya msanii kutoka Nigeria Tiwa Savage kuvuja kwenye mitandao imepelekea msanii huyo kupoteza dili 4 za kampuni tofauti.

Muigizaji wa Nigeria ambaye anaishi Marekani Gerogina Onuoha amedai kuwa Tiwa Savage ni Msanii mzuri amebarikiwa lakini kutokana na hili inabidi Aombe radhi .

Gerogina ameenda mbali zaidi na kutolea mfano Mwanamitindo kutoka nchini Marekani Kim Kardashian ambapo anadai aliandaa Tour ya kuomba radhi kwenye Vituo vya habari na vipindi ili kuokoa brand yake aliyoitengeneza kwa zaidi ya miaka 15 .

Staa huyo amesisitiza Tiwa Savage sio Msanii ambaye anaangaliwa Nigeria pekee ni Duniani anatakiwa kuomba radhi kwa hilo .

Tiwa Savage amepoteza dili za kampuni ikiwemo ya mtandao wa simu ya GLO, Cadibury, Pampers na nyingine nyingi .

Nini maoni yako???


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments