Ticker

6/recent/ticker-posts

Twaha Kiduku Amtaka Aliyempiga Dulla Mbabe "Nataka Lipiza Kisasi"Bondia @twaha_kiduku amesema anamtaka yule Raia wa Congo aliyempiga Mtanzania @official_dullahmbabe

Twaha amewataka mapromota kuandaa pambano hilo haraka kwani ana kisasi cha kulipa na heshima ya kuweka.

Unasemaje mdau : Pambano liwepo au lisiwepo?

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments