Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Uingereza Kutambua Vyeti vya Chanjo ya Corona Kutoka TanzaniaBalozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concar amesema kuanzia Novemba 01, 2021 Uingereza itatambua Vyeti vya Chanjo dhidi ya #COVID19 vilivyotolewa na Serikali ya Tanzania

Hatua hiyo itaruhusu waliopata Chanjo hapa Nchini kuingia Uingereza bila kukaa Karantini au kulazimika kujitenga, ikiwa wamepata moja wapo ya Chanjo zinazotambulika katika Taifa hilo

 Download Our Udaku Special APP Kutoka Google Play Store Kwa Kutumia Link Hii Hapa>>>

Post a Comment

0 Comments