Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Uingereza Yaiondoa Tanzania Kwenye Orodha ya Nchi HatarishiTanzania ni miongoni mwa mataifa yaliyoondolewa katika orodha ya Mataifa hatari kwa maambukizi ya Corona. Serikali ya Uingereza imesema orodha hiyo imepungua kutoka Nchi 54 hadi 7
-
Waziri wa Usafirishaji nchini humo, Grant Shapps amesema mabadiliko hayo yataanza Jumatatu (Oktoba 11, 2021)
-
Hatua hiyo inamaanisha Watanzania na Raia wa Uingereza kutoka Tanzania hawatakaa Karantini ya lazima ikiwa wamepata moja kati ya chanjo nne ambazo Uingereza inazitambua

#JamiiForums #UVIKO3

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments