Ticker

6/recent/ticker-posts

Unaambiwa Sasa Ukivua Condom BILA Kumwambia Mwenza Wako ni Kosa Kisheria


Gavana wa jimbo la California Gavin Newsom amesaini sheria inayopiga marufuku uvuaji kondomu bila makubaliano, hii ni baada ya kuwasilishwa kwa muswada ulioitwa "stealthing".

Sheria hii mpya inaifanya California kuwa jimbo la kwanza nchini Marekani kuidhinisha uvuaji wa kondomu bila makubaliano kuwa kosa linaloadhibiwa kisheria ambapo Mtu anaweza kumfungulia kesi Mtu akatakayevua kondomu bila makubaliano yao wakati wa tendo.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments