Ticker

6/recent/ticker-posts

Waziri Mkuu Majaliwa awasili Chato mkoani Geita

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Geita Rosemary Senyamule (wa pili kulia) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Wenye ulemavu Jenista Mhagama  (wa tatu kulia) na viongozi wengine alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Chato, Geita Oktoba 11, 2021 ambapo kesho anatarajia kuzindua wiki ya Vijana Kitaifa (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments