Ticker

6/recent/ticker-posts

Wema Sepetu Itakuwa Atamani Uongozi Kama Jokate


Bila Shaka , ukifaatilia Kwa ukaribu utagundua kuna Ka peer pressure kapayaaa Ka hawa wanawake maarufu kutamani vyeo SERIKALINI

👉Hii ni baada ya wanawake wenzao kuonekana kufanya vizuri katika nafasi wanazo zipata serikani ,na kuongeza status zao na nguvu ya ushawishi, mfano

👉JOKETI, amekua akiwa vutia wanawake wengi hawa mastaa kutamani vyeo SERIKALINI japo wengi wao hawajionyeshi Ila ukwelii ndo huo,

👉Pia Hamisa mobetto baada ya kupewa ubalozi wa kusimamia ukusanyaji Kodi ,hii pia iliwafanya wanawake wengii waendelee kutamani nao wapate nafasi hizi

Tunajuaje kua wanatamani vyeo???

👉Katika Hali isiyo ya kawaida , au isiyo zoeleka , Baadhi ya Wasanii walianza kuwapost viongozi wa SERIKALINI hovyo hovyo😂💔Kama shobo ili wakumbukwe,

Mfano

"Wema sepetu ,siku za hivi karibuni alimpost mh.raisi na kumuandikia caption ya kumpamba japo kwa uchache

Hii inathibitisha kuwa kuna attention flani anaitaka kutoka Kwa mh.au Kwa watu ili wamkumbuke wampe hata kaaa ukuu wa wiliaya

Hatuongeii Kwa ubaya , lakini basi wajitahidi kujiweka kimaadili Kama wanataka vyeo ,watapata tu Kama JOKETI

Nini maoni yako ndugu msomaji???

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments