Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Ali Kiba Amjibu Kiaina Nikki Mbishi Kuhusu Kuunga Unga Nyimbo "Uwezo Wake wa Kufikiri Umeishia Hapo"Leo hii tarehe 10/11 majira ya saa tatu asubuhi,Dizaini kama Nikki Mbishi aliamka na Alikiba akidai ni msanii anaetoa choruses kali lakini verse zake ni za kuunga unga alafu eti ndio King na jiji linasimama.

Akiwa kwenye Empire ya EFM, Alikiba amedai anakubaliana naye maana ni kweli muziki una ungwa ungwa tu ila u'make sense,lakini pia amedai hawezi kumcrush maana ni maono yake na anaheshimu mawazo ya mtu,uwenda uwezo wake wa kufikiria umeishia hapo na akaona kwenye nyimbo zangu ni ujanja ujanja tu.

Kwani Nikki Mbishi amedai hataki maswali ya kidaku kutoka kwa waandishi, hivyo hataki maswali ya Alikiba,Harmonize wala Diamond na wasanii wengine,anataka maswali yanayo muhusu yeye na muziki wake😁


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments