Ticker

6/recent/ticker-posts

Aunty Ezekiel "Mmoja Wetu Kurudi Asubuhi sio Kesi Lakini Lazima Video Call Kila Saa"Get to know kuwa haijalishi ni muda gani msanii @_kusah_ atapata vibe la kuingia studio na hasitokee, kwa mujibu wa mke wake, @auntyezekiel amedai kwa upande wao yeyote yule kurudi Asubuhi sio ishu, maana huwez mzuia mtu akisema amepata vibe la studio Asubuhi ama usiku maana yeye anapenda muziki mzuri hivyo lazima amsupport mumewe kikubwa tu video call lazima ifanye kazi.

Kingine Aunty amedai anaomba watu wamsupport Kusah maana ana muziki mzuri na si makelele hivyo mtu akitulia kumsikiliza ana mashairi tofauti. Haya ameyazungumza wakiwa kwenye kipindi cha Empire ya EFM.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments