Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Baba Tale "Baba Levo, Juma Lokole na Mwijaku ni Wapumbavu"


Mbunge wa Morogoro kusini mashariki Babutale ambaye pia ni manager wa Diamondplatnumz ameonyeshwa kutopendezwa na kinachofanya na babalevo
Mwijaku na Juma Lokole ambao wamekuwa machawa wa wasanii kiasi kwamba wamekuwa wakichonganisha kwa maneno wanamuziki

"Tuache kudhania tunaua sana ya muziki tupinge sana hawa wagombabishi na wachonganishi wachache, hawa ndio wapumbavu tuwaondoe katika Industry ya muziki hawachangamshi mziki kama watu wanavyodhani, tuwashawishi na kuwasupport wasanii wafanye vizuri" amesema Babutale

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments