Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Breaking : Wizkid ameshinda Tuzo ya MTV EMA kipengele cha msanii bora wa Africa, Mondi Chali


Wizkid ameshinda Tuzo ya MTV EMA kipengele cha msanii bora wa Africa (Best African Act) tuzo ambayo ilikuwa ikiwaniwa pia na mkali toka Tanzania, Diamond Platnumz. Wizkid amewaangusha pia Focalist, Tems na Amaarae wa Ghana. Tuzo hizo zinatolewa usiku huu nchini Hungary.

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments