Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Diamond Platnumz Afunguka Baada ya Rayvanny Kuvunja Rekodi, Harmonize Atupiwa Dongo KiainaDiamond Platnumz ameandika haya:

"The first Afirican Artist to Perfom #MTVEMA @rayvanny Chui 🐅 👑.... Niwakumbusha Msanii wa Kwanza Africa Kuperform MTVEMA anatokea Tanzania, Mkoa wa Wasafi na sasa ni Raisi wa Next Level Mh @rayvanny ... Vijana wenzangu Tujifunzeni Kuwa na Nidhamu na Fadhila ili Sanaa zetu zitufikishe mbali zaidi na tusiishie kwenye Mihadarati....🐅 #WCB4life #NextLevel #Tetema"

Hapo inaonekana Big Mondi kamtupia Dongo kijana wake wa zamani Harmonize kuhusu mihadarati

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments