Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Diamond Platnumz Atangaza Kumaliza Tour Marekani, Meneja Agusia Tour ya Bara la Ulaya

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Baada ya kuweka kambi nchini Marekani kwa takribani wiki tatu hatimaye staa wa Muziki Barani Afrika @diamondplatnumz ahitimisha ziara yake nchini humo. Diamond alianza ziara yake Jijini Atlanta mnamo October 8,2021 na kuhitimisha Dallas mnamo October 31,2021

Baada ya kumalizana USA Diamond anatarajia kuanza tour yake barani Ulaya. Hii ni kwa mujibu wa meneja wake @sallam_sk ambaye ameandika “Tumemaliza ziara ya Marekani, asanteni wote. Kaeni tayari kwa ziara ya Ulaya”


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments