Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Diva the Bawse "Nisikie Mtu Anamsema Boss Wangu, Nina Drive Ndiga Kali Kwa Ajili yake"Kutokana na yanayoendelea kati ya Mondi na Harmo Diva Ameandika Haya :

"Nisikie mtu anamsema Boss wangu .. Mtu na Nusu Mwenye Pepo Yake Boss Wa Kwanza na Pekee Tanzania Nzima .. aah raha Jamani!.
And Ndio Eeh Njaa Mbaya Ndio
ila Tuna enjoyyyy 😆 tuna drive ndinga kali Brand kubwa Maisha Raha Yan tunaishi Kwa "fablane ...
Ishin umo ...
LEVELS 🔥" Diva

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments