Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Familia yateketea kwa moto Mwanza
Watu watano wa familia moja wamefariki dunia baada ya nyumba waliyokuwemo kuteketea kwa moto katika mtaa wa Mandela uliopo Igoma Mashariki jijini Mwanza.


Akizungumza kwa njia ya simu na Mwananchi, Mkuu wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji mkoani humo, Ambwene Mwakibete amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.Mwakibete amesema kuwa moto huo umetokea usiku wa kumakia leo Jumatatu Novemba 8, 2021."Ni kweli waliofariki ndani ni Lameck Benedicto, mke wake, mtoto wake wa kike na wageni wake wawili ambao bado majina yao hayajatambulika," amesema Mwakibete

 Download Our Udaku Special APP Kutoka Google Play Store Kwa Kutumia Link Hii Hapa>>>

Post a Comment

0 Comments