Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Fred Vunja Bei Apata Dili Nono Polisi Tanzania


Mfanyabiashara nchini Fred Ngajiro maarufu kama #fred_vunjabei amelamba dili la usambazaji wa jezi katika timu ya Polisi Tanzania.

Fred anakuwa na kibarua cha kusambaza jezi katika timu mbili, yaani Simba SC pamoja na Polisi Tanzania.Mkataba huo umegharimu jumla ya shilingi za kitanzania milioni 104,000,000/=

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments