Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Habari Njema, Rayvanny Akamilisha Wimbo wake na Justin BieberHii Ni Good News πŸ“° Kwa Mashabiki Wa @rayvanny πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Kwani Ametangaza Kukamilika Kwa Kolabo Yake Na Star Wa Muziki Duniani @justinbieber πŸ‡¨πŸ‡¦

Kupitia Ukurasa Wa Instagram #Rayvanny Amethibitisha Hilo Kwa Kuandika πŸ‘‡

"Tanzania X Canada ...

#Chui X #JB" - Rayvanny


Hata Hivyo Inaonekana Kuwa Mikono Ya Producer @s2kizzy Ndio Imehusika Kuitengeneza Ngoma Hii Kwani Kupitia Insta-Story Yake Nae Amethibitisha Hilo Kwa Kuandika πŸ‘‡

"πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ X πŸ‡¨πŸ‡¦πŸ‡¨πŸ‡¦πŸ‡¨πŸ‡¦

#Zombiebeatzworldwide" - S2kizzy


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments