Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Harmonize Awa Un Follow Watu Wote Ambakiza Mpenzi Wake Mpya MzunguStaa wa Bongo Fleva, Harmonize ameamua kuwa un-follow watu wote aliokuwa amewafollow katika ukurasa wake wa Instagram kisha akamfollow mtu mmoja tu ambaye inaonekana ni mpenzi wake.

Staa huyo maarufu kwa jina la Konde Boy au Mjeshi amemfuata mrembo huyo kwa jina la #briana__tz, ambaye amemtambulisha kuwa ni mpenzi wake.

Uhusiano huo ni mwendelezo wa Harmonize kuwa ‘active’ pindi anapokuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke, kwa kuwa amekuwa akiweka wazi kupitia mitandao yake ya kijamii.

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments