Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Harmonize Kuingia Studio na 20 Percent Usiku wa Leo.


Kulingana na post aliyoShare Kupitia insta story yake mwanamuziki @harmonize_tz usiku wa leo anakwenda kukamilisha ahadi yake aliyo itoa wiki kadhaa nyuma alipokua nchini marekani kuhusu kufanya kazi na mwanamuziki mkongwe #20percent.

Kupitia insta story yake Harmonize amepakia kipande cha video akiwa anasikiliza moja ya nyimbo za msanii huyo, na kuandika,↓
“Going in da studio with my brother 20% , Tonight Can't wait”

Msanii huyo mkongwe kwenye game ya BongoFleva ni moja kati ya wasanii wawili (pamoja na #diamondplatnumz) wanaoshikilia rekodi ya kushinda tuzo nyingi za 'KiliMusicAwards' katika usiku mmoja .

✍🏾@keviiiy.iam


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

1 Comments

  1. Umoja ni nguvu. Tajiri akifanya umoja na maskini wengi. Atawanyenyua maskini.. lakini yeye atadhoofika. Tunapendekeza afanye umoja na wakubwa wenzake. Haitakula sana kwake

    ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)