Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Harmonize Kwenye Penzi Jipya na Mzungu Marekani


Huenda mwanamuziki @harmonize_tz yupo mapenzini sasa baada ya muda kupita bila ya kuweka wazi hali ya mahusiano yake kwa sasa.

Hii ni kufuatia mfululizo wa post kutokea insta story yake zinazo ashiria kwamba huenda kwa sasa ameangukia kwenye penzi jipya na raia wa kigeni (mzungu) huku akiwa bado yupo nchini marekani.

Kupitia insta story yake KondeBoy ameshare picha akiwa na mrembo wa kizungu na kuandika ujumbe unao tafsirika kwa maana ya "kumbukumbu iliyoje" ,jambo ambalo linahisiwa kuwa neno la fumbo kuhusu mahusiano yake kwa sasa.

✍🏾@keviiiy.iam


 Download Our Udaku Special APP Kutoka Google Play Store Kwa Kutumia Link Hii Hapa>>>

Post a Comment

0 Comments