Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Harmonize "Harmonize Nafirikira Kufuta Tattoo ya Diamond Platnumz"

“Walijua nikitoka nje nitakufa, waliona Rich Mavoko alivyotoka akapotea, huu mwaka wa tatu sasa na nimetoka Marekani.

“Kila nilichofanya wanaona nakosea, niliponunua V8 wakasema namuiga yeye.

“Mimi bado nina mheshimu Diamond, nina tatuu yake hapa mkononi sina mpango wa kufuta lakini siku zinavyoenda mbele naweza nikafuta kama mtu anatamani wewe ufe mi tabaki na tatuu ya nini?

“Maugomvi yakawa mengi, faini kila mara. Nilishawahi kupigwa faini milioni 10 kisa nimeenda uwanjani kuangalia mechi ya Taifa Stars. Nikaambiwa nilipe Sh milioni 10 na nikalipa.”

Kauli za Harmonize baada ya kutua Dar es Salaam, leo Alhamisi akitokea Marekani.

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments