Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Harmonize "Muziki Wangu sio Kwa Ajili ya Wazee Waliopitwa na Wakati, Unalenga Kizazi cha Sasa"
Kupitia ujumbe alioupost Insta Story staa huyo wa Bongo Fleva na CEO wa Konde Gang ameweka wazi kuwa album yake ya HIGH SCHOOL ametunga kwa ajili ya kizazi cha sasa na sio wazee kuanzia miaka 50.

Ameongeza kuwa lengo lake ni kufanya mapinduzi kwenye muziki wa Bongo Fleva na mpeni muda tu. Huku akisema kuwa hataki kufananishwa na msanii yotote kwa sasa kwani ladha ya muziki wake ni wa kitofauti sana.


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments