Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Harmonize "Baba Yangu Alipokuwa Anakuja Kunitembelea Dar Wakati Nipo WCB Alizuiwa Eti Anakuja Kumloga Diamond"
Harmonize ameelezea jinsi alivyo kua anafanyiwa kipindi yupo WCB, Baba yake Mzazi alizuiliwa asiwe anamtembelea Harmonize kwa kuhofia huwa anakuja kumloga Diamond.

Tazama video hapa chini
 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments