Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Hatimaye..Mbowe Ashinda Pingamizi la KwanzaMAHAKAMA Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Alhamisi, Novemba 11, 2021 imepokea pingamizi la kwanza la kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu.


Mbowe na wenzake wameshinda pingamizi hilo baada ya mahakama hiyo kukataa kupokea kielelezo cha kitabu cha kumbukumbu za mahabusu wa kituo kikuu cha Polisi Dar es Salaam.


Mahakama hiyo imesema shahidi ameshindwa kukidhi kigezo kimoja cha namna ambayo kielelezo hicho kimemfikia baada ya kuachana nacho Agosti 5, 2020.

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments