Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Hivi Ndivyo Fahyma Alivyoamua Kumsuport Mpenzi wake wa Zamani Rayvanny


Aliyekua mpenzi wa mwanamuziki @rayvanny ambae pia ni mzazi mwenzake @fahyvanny ,ameonesha kumuunga mkono baba mtoto wake huyo kufuatia collabo yake ya kimataifa ya "MAMA TETEMA" ambayo ameshirikishwa na nyota wa muziki kutoka colombia @maluma .

Kupitia insta story yake Fahyma ameshare ujumbe unao tafsirika kwa lugha ya kiswahili kuwa
“najivunia wewe”
Ujumbe huu umechukua headlines kufuatia siku chache zilizopita kuwepo kwa tetesi za wawili hao kurudiana .

Tembelea YouTube Channel yetu ya Middle Simba kwa taarifa nyingi zaidi.


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments