Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Huwezi Amini Haya Ndio Mawazo ya Wanaume wa Dar

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Vijana wengi hasa wakiume ndani ya da'slam hujiita watoto wa mjini na wengi ukikutana nao popote pale wao hua ni Kama wameshamaliza Kila kitu kwenye haya maisha na ndani ya vichwa vyao ubongo wao umebeba vitu hivi.
* Kwa mparange

* Chips mayai.

* Diamond

* Alikiba.

* Simba/yanga

* CCM

* Kidali/paja la kuku wa kisaaa.

* WCB

* Konde gang

Tiririsha Mambo mengine ambayo yamejaa kwenye Ubongo wa Vijana wa Daslam.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments