Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Jaji kesi ya kina Mbowe kutoa uamuzi kupokelewa hati ya ukamataji
Leo Jumanne Novemba 9, 2021 Jaji Joachim Tiganga anatarajia kutoa uamuzi kuhusiana hati ya ukamataji mali iliyopingwa na mawakili wa upande wa utetezi kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu.
Hiyo ni baada ya jana Jaji Tiganga anayesikiliza kesi hiyo kuiahirisha kutokana na mvutano wa mawakili wa pande mbeli baada ya mawakili wa utetezi kupinga mahakama hiyo kuipokea hati ya ukamataji mali za washtakiwa wawili katika kesi hiyo.

Mvutano huo uliibuka waakati upende wa mashtaka ulipoiomba Mahakama ipokee hati hiyo kupitia shahidi wa nane, Mrakibu wa Polisi Jumanne Malangahe, wakati akitoa ushahidi wake

 Download Our Udaku Special APP Kutoka Google Play Store Kwa Kutumia Link Hii Hapa>>>

Post a Comment

0 Comments