Ticker

6/recent/ticker-posts

Jamaa Amuomba Msamaha AMBER Rose Kwa Kumsaliti na Wanawake 12

 


Huenda ikawa Kanye West amewavutia watu wengi kuiga kitendo alichofanya kwa kukiri makosa yake hadharani na kuomba radhi Kim Kardshian warudiane, baada ya Alexander Edward aliyekuwa mpenzi wa Amber Rose nae kuomba msamaha Amber na kutaka warudiane tena.

Amber aliachana na Alex miezi michache iliyopita baada ya kugundua Alex alimsaliti kwa kutembea na wanawake 12. Alex amekiri kufanya usaliti huo na yuko tayari kufanya lolote ili kuhakikisha anarudiana tena na Amber.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments