Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Je, Mwambaji Jux Atatimiza Ahadi yake? Aliimba Kuwa Atamsubiri Jack Cliff Atoke Jela...


Mara baada ya Taarifa hizi za Jack Cliff (Model na Ex wa Jux) kutoka jela unahisi lolote linaweza tokea, inawezekana kweli akarudiana na Jux , mapenzi yakaendelea walipoishia?

Tukumbuke tu kwamba, Jux amewahi kuimba wimbo "Nitasubiri" wimbo huu ulikuwa ni special kabisa kwa Jack Cliff huku Jux Akieleza hisia zake kuwa amemmiss mpenzi wake na anatumaini siku moja atatoka jela na atarudi maisha yaendelee."Ushanifanya niwe mantle, Hata chakula sikitamani
I wish ungekuwepo, Tucheze cheze wangu wote mwanani
Ushanifanya niwe mantle, Hata chakula sikitamani
I wish ungewepo baby eh

Nitasubiri, usilie mama nitakuona tena
Mi nitasubiri, usikate tamaa, Najua sio mapema

Nitasubiri, usilie mama nitakuona tena
Mi nitasubiri, usikate tamaa, Najua sio mapema

Mi nitasubirii"


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments