Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Juma Lokole Akanusha Rayvanny Kurudiana na Fahyma "Anampenda Sana Paula Kila Mwezi Anamtumia Milioni 23"


Mmbea namba moja hapa Tanzania anayefanya vizuri pia ni mmoja wa mwanafamilia wa Diamond Platnumz @jumalokole2_official katika mahojiano na vyombo vya habari amesisitiza kwa kusema mpaka sasa Fahyma hajarudiana na Rayvanny hizo habari zinazosambaa kuwa wamerudiana hazina ukweli wowote zipuuzwe tu. Katika Mahojiano Ya Hivu Karibuni Juma Lokole Amefunguka Haya

“Waandishi wa habari nyie mmesikia wapi yule Fahyma hawezi rudiana na Rayvanny na kama wamerudiana na anakiburi bhasi ampost huyo Rayvanny si wamerudiana, Mimi nipo kati hapa nitahakikisha harudiani na Rayvanny, Sina bifu lolote na Fahyma” -Juma Lokole

“Kwa mwezi Rayvanny anamtumia Paula hela ya Matumizi Dollar Elfu 10 Sawa Na Tsh Milioni 23 Kwa Hela Ya Tanzania, Pale Ray ndo kafika hawezi ruka pengeni Paula ndo mwenye bwana wake na siyo huyo mnaemzushia habari za uongo” -Juma Lokole


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments