Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Kajala Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Baada ya Harmonize Kupata Mpenzi Mpya "Mapenzi Hayaumizi Bali Kumpenda Mtu Asiye Sahihi Kunaumiza"


Baada ya kudai kua hajawahi kuwa na EX' bali amewahi kuwa na mfano wa kitu gani asikifanye tena, nyingine kutoka kwa aliyekua mpenzi wa mwanamuziki 'Harmonize @kajalafrida kupitia insta story yake ameandika kuwa;

“mapenzi hayaumizi bali kumpenda mtu asiye sahihi kunaumiza”.

Mfululizo wa post hizi unahusishwa na kile ambacho mwanamuziki #harmonize amekitangaza, kuingia kwenye penzi jipya na mrembo kizungu kutoka Australia @briana__tz .

✍🏾@keviiiy.iam


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments