Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Kampuni ya Boeing yafikia makubaliano na familia za wahangaKampuni ya Boeing imefikia makubaliano na familia za waathirika wa ajali ya ndege 737 MAX iliyoanguka na kuua watu 157 waliokuwemo ndani ya ndege huko Ethiopia na imekubali kuwajibika na ajali hiyo.

 Download Our Udaku Special APP Kutoka Google Play Store Kwa Kutumia Link Hii Hapa>>>

Post a Comment

0 Comments