Ticker

6/recent/ticker-posts

 



.

Kimenuka Huko Madagascar Wanajeshi Wavamia Kambi ya Taifa Stars Wadai Mbwana Samatta, Aisha Manula na Mwamnyeto Wana Corona


Hivi ndivyo hali ilivo nchini Madagascar Wanajeshi wanataka kuwachukua wachezaji wa Taifa Stars kwa Nguvu wakisema wana corona (Aishi Manula, Mbwana Samatta na Bakari Mwamnyeto)

Ikumbukwe Tanzania ina kibarua jioni dhidi ya Madagascar mchezo wa kukamilisha ratiba hatua ya makundi ya kufuzu kombe la dunia.

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments