Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Kinachojiri mahakamani kesi ya kina Mbowe

Washtakiwa katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu wameshafikiswa katika Mahakama Kuu (Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi) ambapo leo mahakama hiyo itasikiliza ushahidi kutoka kwa shahidi wa nane wa upande wa mashtaka.


Pia, Mawakili wa utetezi tayari wameshaingia ndani ya ukumbi wa mahakama, wakisubiri taratibu zikamilike ili kesi ianze.Mawakili wa Serikali bado wako ofisini kwao mahakamani hapo wakimuandaa shahidi wao wa nane ambaye anatarajiwa kupanda kizimbani leo kutoa ushahidi wake.Kama kawaida tutaendelea kukuletea mwenendo wa kesi hii moja kwa moja kutoka mahakamani hapo kadri kesi itakavyokuwa inaendelea.

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments