Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Kipi Kitatokea Baada ya Harmonize Kumwaga Michele Kwenye Kuku Wengi


Harmonize aliongea mambo mengi sana, baadhi ya mambo hayo sio mazuri sana, na hakutakiwa kuyasema.

Mfano alivyosema kuhusu issue ya Boss @josephkusaga, kwamba alimfata Diamond ili kumuomba wafanye partnership waanzishe Wasafi Fm, hili suala ni nyeti sana sizani kama kusaga kafurahi kusikia kuwa ukweli umeanikwa, maana mara kibao amekuwa akikana kuhusu hili suala, suala linalojulikana ni mke wake ndio anahisa na sio kusaga.

Baada ya Harmonize kutoka WCB, CLOUDS MEDIA, ambayo kusaga ndy mkurungezi mtendaji, imechangia sana kumpush harmonize na bila clouds na Efm sizani kama harmonize angetoboa baada ya kutoka WCB, nakumbuka kila siku Diva alikuwa anamtaja sana harmonize kwenye Ala za roho, lakini harmonize bila kutumia akili ameropoka kila kitu na ikaleta picha halisi kwamba kusaga ndy boss mkuu Wasafi Media, wakati hii issue kusaga mwenyewe hakutaka kuweka wazi.

JE CLOUDS ITAENDELEA KUSUPPORT KAZI ZA HARMONIZE AU NDIO KAJIKOROGA, LAZIMA WAMKAUSHIE?

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments