Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Kumekucha..Usiku wa Kuamkia Leo P Square Wamekiamsha Vibaya Mno Nchini Sierra Leone

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREUsiku wa kuamkia Leo, P Square wamekiamsha vibaya nchini Sierra Leone huku crowd ikishindwa kujizuia kuona washkaji wamerudi pamoja.


Tarehe 18/12 mwaka huu, P Square wametangaza kufanya Show yao rasmi ya kurudi kwenye game kama kundi kundi, mbali na hilo kwa mujibu wa @peterpsquare ,kundi hilo litafanya World Tour kuwafikia mashabiki zao waliowamiss kwa muda mrefu.

Binafsi nafurahia kurudi kwa hawa brothers sababu ni shabiki yao mkubwa sana.

@iamkingrudy @peterpsquare

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments