Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Kwa Sasa Wasanii Wakubwa Afrika ni Burnaboy na Wizikid, Mondi na Davido Pata Potea

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Hivi sasa wasanii wakubwa Africa ni @burnaboygram pamoja na @wizkidayo hakuna cha Davido wala Diamond Platnumz.

Shughuli ya Burnaboy hivi sasa sio kitoto, ametoka kuua vibaya sana show yake ya Sweeden na Paris, bonge moja La show, bonge moja la support kutoka kwa mashabiki, Nyomi kubwa LA mashabiki, Show kali, Stage ya level za Dunia, live Band yenye hadhi ya Dunia, Energy ya kutosha, sio dakika mbili tu pumzi imekata unaanza kupumulia microphone.

Tukirudi upande wa Wizkid, sina mengi nadhani wewe mwenyewe unaelewa sasa hivi dunia imesimama kwaajiri ya Wizkid, essence imekuwa Turning Point ya Mafanikio makubwa ya wizkid, Jamaa hashikiki, wasanii wakubwa wanamkubali, daaaah, noma sana.

Diamond aendelee tu Kupeana mkono.
Harmonize aendelee tu Kufuga tumbo, wasipobadilika, Kufika hizi level za Burnboy itakuwa ni ndoto kwao na kwa mashabiki zao.

Kwa jinsi ambavyo Wiz na Burna wanaiwakilisha vyema Africa natamani hata Tuwape Hamisa mobetto Wamuoe kabisa.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments