Ticker

6/recent/ticker-posts

Kwisha Habari yake..China Yachukua Uwanja wa Ndege wa EntebeBenki ya China, Exim Bank imechukua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa #Entebbe na mali nyingine za Uganda baada ya kushindwa kulipa mkopo wa Dola milioni 207(Tsh. Bilioni 476.7)

Mkopo huo ulikuwa unaiva ndani ya miaka 20 huku ukiwa na kipindi cha matazamio cha miaka 7. Rais Yoweri Museveni alituma ujumbe #Beijing kujadili suala hilo lakini halikuzaa matunda

Waziri wa Fedha, Matia Kasaija ameliomba radhi Bunge la #Uganda kwa kutozitumia vyema Fedha hizo walizokopa kupanua Uwanja wa Ndege wa wa Entebbe


Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments