Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Makamba "Hakuna Uhaba wa Mafuta Tanzania"Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Dkt. James Mataragio atatakiwa kufika Ofisi ya Wizara kutoa maelezo kutokana na kauli yake kuwa mafuta yaliyopo yanatosha kwa siku 15 tu

Waziri Makamba amekanusha uwepo wa uhaba wa mafuta Nchini na kusema kauli ya uhakika ni ya Serikali, na inaendelea kuchukua hatua kuongeza uhakika wa upatikanaji na unafuu wa bei


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments