Ticker

6/recent/ticker-posts

Mama Samia "Tulifanya Dhambi Kubwa Sana Kuchoma Vifaranga vya Kenya"


"Tulikuwa tuvutana na wenzetu kutoka Kenya,kila mtu akivutia kwake,bidhaa zikawa zinazuiwa huku na kule, hadi tunachomeana Vifaranga vya kuku mipakani,dhambi kubwa hii tulifanya" Mhe.Samia Suluhu Hassan


Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments